Rabu, 11 Mei 2011

Wabara wachomewa vibanda vyao Zanzibar

Hivi watanzania tutafika jamani?. Wanzazibari wamechoka maduka ya wa bara moto na kuwaambia warudi kwao na kwamba hawataki muungano, bali wanataka muungao uvunjike. Hivi muungano ukivunjika Zanzibar itakua vipi?. Yani its really sad kama huku ndipo nchi yetu inapoelekea, jamani please we are not strong enough kuanza kuchukiana wenyewe kwa wenyewe. Hizi tabia za kuiga tuziachilie mbali, tuishi kwa salama na amani. Ukizingatia ya kwamba dar kuna wazanzibari kuliko hao wabara walokuepo zenji, mambo ya Kenya msituletee watanzania hatuna tabia hiyo kabisa! Unamchomea mwenzio kibanda chake anachopatia rizki kisa yeye ni mbara?. Nawewe wa pwani katafute rizki yako usikae kuweka chuki binafsi. Kwa habari zaidi sikiliza hapo chini.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin