Selasa, 31 Mei 2011

Miss Universe Tanzania 2011



Nelly Kamwelu aliibuka kua mshindi wa kwanza katika shindano la kumtafuta Miss Universe(Tanzania). Mrembo huyo alikua mwenye furaha kujua alifunika warembo wengine wote na kuchukua title hilo.


Tatu bora


Walo fanikiwa kuingia tano bora.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin