Jumat, 27 Mei 2011

Summer Fashion

Naona wadada wengi wakivaa hivi viatu na shorts, napia ni trend kubwa ya summer of 2011. Kama wewe utapenda basi vyapatikana Aldo, kajipatie chako!. Mimi sio mpenzi mkubwa wa flats Im a heels lady! lakini just maybe ntavaa hiki cha kwanza na shoooooooooooorts!.









Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin