Jumat, 20 Mei 2011

Sheikh Yahya afariki dunia


Mtabiri mkubwa wa mambo nchini Tanzania Sheikh Yahya Hussein afariki dunia. Sheikh Yahya amefariki Ijumaa ya leo na atazikwa kesho Jumamosi. Sheikhe huyo ajulikana sana kwa kutabiri mambo. Kwa habari zilizo tolewa na ndugu ni kwamba Sheikh Yahya amefariki kwa matatizo ya moyo (heart attack). Yasemekana kua mtoto wa Sheikh Yahya aitwae Hussein Yahya Hussein yuko tayari kuchukua pale alipo acha babake. Mr.Hussein alisema kwamba babake alianza kumfundisha business hiyo kwa muda. natoa pole kwa familia yake,jamaa na marafiki. Inna lillahi wa inna ilaihi rajioon,M/mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi,Amin.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin