Selasa, 10 Mei 2011

Hakujua ama makusudi?.



Kwenye hii cheki kumeandikwa milion tatu na laki nane, kwa namba imeandikwa 3,800,00 meaning ni laki tatu na elfu themanini. Je hii cheki ilivyo andikwa bi Salma kakosea kwa bahati mbaya ama bongo kuna jinsi nyingine ya kuandika namba, unataka kunambia hakuna mtu alomwambia amekosea kuandika namba?. Hii ni very sad specially imeandikwa "Salma r kikwete". Yani i cant put my finger around this one!, hivi bongo tutafika kweli jamani mana ah its embarrassing.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin