Minggu, 15 Mei 2011

Maulidi

Shukran za dhati kwa wote mloweza hudhuria shughuli ya jana. Inshallah M/mungu awape barka nyingi sana, awajalie mema ya hapa duniani na kesho akhera.

Moooooooi








Tumependeza eeh?.


Halat!


Mwanamke Dishdashhh eeeh


Dada zangu haaaaao


Maulidi yalifana mashallah. Wana zuoni hao




Hennnnna






Mashallah walipendezaa


Ilikua siku ya kukumbukia







Wana walipendezaaaaaa hao mashallah


Kanzu nyeupeee mashallah


Usiku huo ilikua maswala ya dishdash na abaya tuu







Wifi Zangu





Ustaadh akisoma mlango wa kwanza


Walipendeza na kanzu zao mashallah.



Makaka wakisikiliza mawaidha kwa makini.


eeenh?

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin