Sabtu, 07 Mei 2011

PLEASE Sikiliza kwa MAKINI

Jana nlikua Youtube sijui nlikua natafuta nini lakini nkapata hii qaswida. Ukitulia na kuisikiliza basi kama unamachozi ya karibu utalia tuu kwani maneno wanayo yasema yote ni kweli. Jamani sisi sote ni binaadamu basi haina haja ya kuuwana kisa mali nk. Kama fungu ni lako na kama manani ameandika basi atakupa tuu. Katika nyimbo hii kuna mstari umenivutia na ni huu apa " Baba mimi nachukia wale wanao amuwa albino kuwauwa viungo vyao kuvichukua, Kisha kwenda kuwapelekea wale wanao wambia hivi viungo kiniletea weeh tajiri utakuwa". Kama MOLA anataka kukupa atakupa tuu sio lazima kumfupishia mwengine maisha yake sababu tofauti ni RANGI tuu. Naomba uusikilize huu wimbo, lol mie mwenzenu nlilia such sad song but true story.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin