Tampilkan postingan dengan label Tanzania. Tampilkan semua postingan
Tampilkan postingan dengan label Tanzania. Tampilkan semua postingan

Kamis, 02 Juni 2011

Ajali

Abood lapinduka na kujeruhi abiria zaidi ya 31, ajali hiyo imetokea katika mlima imezu inyala mkoani mbeya.

Mdada akipata matibabu bada ya ajali

Mtoto akisubiri matibabu baada ya kunusurika katika ajali.

Gari ilogongana na Isuzu

Abood linavyo onekana baada ya kupinduka.


Picha kwa ihsani ya http://mbeyayetu.blogspot.com/

Selasa, 31 Mei 2011

Je ni haki?.



Kusema kweli sijui system ya bongo inafanya kazi vipi kwenye "voice ur opinion". Lakini je wanafunzi wakitaka kuandama ni lazima wafukuzwe kwa mabomu ya machozi?. Mkoani Iringa wanafunzi zaidi ya 10,000 wameandama na kukimbizwa na polisi ambao wanashughulika kutuliza fujo kwa kuwatupia wanafunzi hao mabomu ya machozi. Walichotaka kufanya wanafunzi hao ni kwenda kwa mkuu wa mkoa wa Iringa na kuzisema shida zao, sasa kama wao ni wanafunzi kwanini wasipewe haki yao?. Yeye kama mkuu wa mkoa huo alitakiwa asikilize shida za wanafunzi hao nakujua jinsi ya kuzitatua. Hakuna alojeruhiwa kwa ubaya lakini kumepigwa mabomu kumi au zaidi na wanafunzi wamejeruhiwa kwa miba na vitu vingine.

Kwakweli nchi yangu inanisikitisha sana kwa jinsi inavyo treat elimu na wanafunzi. Hivi raisi wa Tanzania afanye nini aweze ku improve elimu kwa wananchi wake?. Kwanini kila siku wanafunzi hawana haki katika elimu?. Je ni ulimbukeni wa serekali yetu ama ni kudharau sababu watoto wao hawana shida?. Hivi ni haki kwa haya yanofanywa na serekali ya Tanzania?. Katika maisha mnyime mtu vyote lakini usimnyime elimu,kwani ndio itakayo msaidia baadae. Raisi wa Tanzania lazima afanye ya maana katika elimu.

Rabu, 11 Mei 2011

Wabara wachomewa vibanda vyao Zanzibar

Hivi watanzania tutafika jamani?. Wanzazibari wamechoka maduka ya wa bara moto na kuwaambia warudi kwao na kwamba hawataki muungano, bali wanataka muungao uvunjike. Hivi muungano ukivunjika Zanzibar itakua vipi?. Yani its really sad kama huku ndipo nchi yetu inapoelekea, jamani please we are not strong enough kuanza kuchukiana wenyewe kwa wenyewe. Hizi tabia za kuiga tuziachilie mbali, tuishi kwa salama na amani. Ukizingatia ya kwamba dar kuna wazanzibari kuliko hao wabara walokuepo zenji, mambo ya Kenya msituletee watanzania hatuna tabia hiyo kabisa! Unamchomea mwenzio kibanda chake anachopatia rizki kisa yeye ni mbara?. Nawewe wa pwani katafute rizki yako usikae kuweka chuki binafsi. Kwa habari zaidi sikiliza hapo chini.

Kamis, 02 September 2010

Kigamboni in 20 years?.Lord help US

Video nzuri imekuja kwenye attention yangu kuhusu Kigamboni in next 20 years or so. My question is . Whats the catch?,Is Kigamboni being sold, and if yes then it means people who lives in Kigamboni will have to leave their homes for this new City. I think Tanzania should really re-consider this. Kigamboni!

Selasa, 03 Agustus 2010

My Thoughts on TZ election and EDUCATION.


Hello everybody, I hope your all doing well with your families and friends. As I mentioned before on my first "Welcome" post, I will be giving my thoughts on upcoming TZ election. As Tanzanian born, I have always loved and adored my country for the sense of humour with others, but what sudden me the most is our leaders. They don't seem to think outside the box, they don't seem to be flexible with their fellow Tanzanian.When I was watching United State election, I was moved and amazed with president Obama, he seemed to give his people what they wanted and one thing that really struck me when he talked about the importance of Education. So I am only going to give thoughts on EDUCATION.

If you know me then you will probably know that I have strong belief in Education, we all know that it is the key to our bright future. As president Kikwete is waiting to return to the Ikulu house, I thought I'd share my ideas with you on what he should work on if he really cares for his people. But then again I ask myself does he really care or is he there for the sake of being there?.

Education: He should really put his focus on education, he should find something that will allow people to have more access to education. I live in Canada and you wont believe how the education system works here( I love it). I know Tanzania cannot be compared to other countries, but I think we can enrich ourselves by focusing on education. It's great that school tuition has been eliminated in Tanzania since 2002, but families still have the responsibility to pay for uniforms, testing fees and school supplies.My problem here is that, If a parent doesn't have a job, can't a afford even a meal for her children,then how in the world will she pay for testing fees and books?.

I believe Ikulu has lots of money to give to the schools for chairs,books,tables and etc. All those money Mr.president is spending to take trips to UK,US, and everywhere else should be put into a good use like EDUCATION. Its time to give those kids something that they will cherish for the rest of their lives. There is nothing I love more than watching a child smile, I work with kids and every day they inspire me for the better, I feel like they're very creative,and I believe that In Tanzania we have very bright kids and their future can be bright too If only Kikwete considered Education more than anything else. KIDS ARE OUR FUTURE SO THINK ABOUT IT MR.PRESIDENT.

LinkWithin