Jumat, 05 November 2010

Video of the week:Nafsi Inateseka by Bob Junior ft Ali Kiba

Hello wadau, natumaini kwamba wote mpo wazima na mnaendelea vizuri na makazi,shule nk. Kuanzia leo kila ijumaa ntakua naweka videos of the week. Ntakua naweka video tofauti kuanzia Bongo Flava,Reggae,R&B,Taarab,Naija. Week hii tunaenda kule kule bongo na artists Bob Junior ft my fav artists Ali Kiba. Ok naupenda huu wimbo lakini video iko very funny. Nlikua naangalia hii video na mwenzangu and I couldn't stop laughin. Kwanza Ali kiba chini ya miguu ya mwenziwe,pili maringo meengi kwa wote wawili. Oh hell jionee mwenyewe and dont forget to leave comments.


Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin