Minggu, 14 November 2010

Sanura's Memorial

Katika maisha yetu kila moja ataonja mauti,hatujui siku,saa ama dakika. Ni muhimu kwa kila moja wetu kujua kesho ataenda kujibu nini mbele ya haki. Dada etu Nasura alipendwa na wengi sana hapa aldunia lakini ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA alimpenda zaidi. Tumuombe M/mungu azidi kumlaza mahala pema peponi,Amin. Innah lillahi wa inna ilayhi ra jioon

















Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin