Jumat, 26 November 2010

Video of the week:Fungu la Mungu

Naupenda huu wimbo sana,mkisikiliza vizuri mtajua kwanini naupenda,mana una maneno mazuri. Katika nyimbo yote mistari hii ndio yankosha nyoyo yangu.

"Kweli hamsarifiki misili ngozi ya futi la Mungu fungu sikosi, nadhali ameafiki welulu hauyakuti hainifiki mikosi. Pigeni zenu fataki,aloandika afuti waja hamna nafasi MOLA fitina hataki NANG'ARA kila wakati, Umieni zenu nafsi"

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin