Tampilkan postingan dengan label Video of the week. Tampilkan semua postingan
Tampilkan postingan dengan label Video of the week. Tampilkan semua postingan

Jumat, 27 Mei 2011

Video of the week: Kisiwa Cha Malavidavi

Nimechagua video mbili ambazo ni videos of the week, moja ni ya taarab kutoka kwa Rukia Ramadhan(my fav singer),na nyingine ni Bongo flava kutoka kwa Z.Anto aka Binti kiziwi. Najua utazipenda zoote kwahiyo enjoy napia nawatakia weekend njema and please be safe!. I love you for reading,Muaaah.


Jumat, 20 Mei 2011

Jumat, 06 Mei 2011

Video of the week: A song for mama

Weekend hii ni Mothers Day and may God bless all the wonderful mothers out there. I am dedicating this song to you all and know that you are all loved.

Jumat, 29 April 2011

Cheka unenepe


Mie mwenzenu sina hype nyingi ya Royal wedding lakini nimependa sana hili tangazo la T-Mobile. Kila mtu anajua Harry ndio chizi kuliko wote katika Royal family and it would be sooo cool if he did this. Well enjoy the video because I did.

Jumat, 15 April 2011

Video of the week: Sumu ya Penzi

Yaaaaaani huu wimbo naupenda mnooo sijui kwanini lakini upo kwenye replay everyday .

Jumat, 08 April 2011

Video of the week: Tamaa mbaya

Kashinda 5 Kili awards. Yani huyu kijana yupo talented nakumbuka wimbo wake nlokua nkiupenda sana alimshirikisha Bushoke " Binti Kimanzi". Ukitaka ninyanyuke kwenye kiti piga wimbo wa " Binti Kimanzi" na " Tamaa Mbaya", sitokaa chini. Skiliza maneno katika huu wimbo. Nawatakia weekend njema, party hard! Me studying hard its my time for finals and those damn papers are kicking my ass!. Enjoy, love yall.

Jumat, 25 Maret 2011

Video of the week: Goma la Manzese

Tumu wifi yangu hii video kwa ajili yako, nikirudi lazima tulicheze goma la manzese, kwahiyo anza practice kabisa! Love you.

Jumat, 04 Maret 2011

Video fo the week: Domo Kaya

Kwa wale wapenda taarab wenzangu basi nawapa hii kwa wiki hii jamani enjoy and have a lovely weekend. Kumbuka mato juu kidole juuu, Mwaaaaaaaaaaaaaaahz.

Jumat, 25 Februari 2011

Jumat, 18 Februari 2011

Video of the week: Hold my hand


I am going to dedicate this video to everybody who lost their lives in Gongo la mboto blast. You are in my thoughts and prayers,may God bless you all.

Jumat, 11 Februari 2011

Video of the week: Nitarejea

Jamani jamani kama mnanijua basi mtajua napenda sana kazi ya Diamond napia nampenda yeye kama artists. Nimeupenda wimbo wa "Nitarejea" tokea niusikie mara ya kwanza na bada kuona video ndio nimeupenda zaidi. Hii ni video ya kwanza kutoka kwa Diamond tokea mwaka mpya uanze (2011). Katika wimbo huu nilicho kipenda ni acting ya Diamond, ma artists wengi sana wanatumia watu wengine kuact part ambazo haziendani na wao, lakini nampa hongera sana Diamond kwa kuact hii party yeye mwenyewe. He is natural born with talent, I LOOOOOOOOOVE HIM. Nsiseme mengi just look for yourself and after your done you will know why this is my favorite video of the week.

Jumat, 04 Februari 2011

Video of the wee: Kidudu Mtu


I soo heart this song a lot. Kuna watu hawapendi utu, kutwa kufitinisha wenzao ili wao waonekane watu.

Jumat, 28 Januari 2011

Video of the week: Pretty Girls Rock

.

Ladies we are all beautiful and unique in our own ways. Therefore, I want you to enjoy this video as my dedication to you all. You know pretty girls rock and you all do rock. Have a lovely weekend and stay safe. Love you all

Jumat, 21 Januari 2011

Video of the week:Muchana


I love this song and I thought you guys would enjoy it too.

Jumat, 07 Januari 2011

Video of the week: Yori Yori



I have three words for this song. Hot,Catchy,Sexy. Their voice mmmmmmmmmmmmmm

Jumat, 17 Desember 2010

Video of the week: Bye Bye by Mariah Carey



I chose this song for so many reasons, I believe everybody went through that loss of someone close and sometimes you just don't know how to deal with it. So this song is for you, its hard to say BYE. Every time I listen to this song It reminds me of my beautiful auntie that I lost years ago. They say time heals everything, but honestly I feel like it doesn't. I know sometimes we are being told "Usikufuru",but its hard not to. I'd always remember her and feel her presence near me and I feel loss. She was one of those women who were strong,smart,amazing and so loving, she was like a mother to me and honestly until tomorrow I feel like I am dreaming. I just miss her so much, but we have to learn how to deal with death. I wish she was here to celebrate Christmas, Lord knows she was big on this holiday. She I'd always tuck me into bed and we would play this game and I would laugh so hard,sometimes I find myself playing the game all by myself and just cry. I wish I could talk to her and even tell her how much I miss her and how she meant the world to me. she is surely missed. Rest in peace auntie, you will always be in my heart.

Also, I wan dedicate this song to my good friend Sarafina, your Angel is up in heaven watching over you mama. Much love

Jumat, 10 Desember 2010

Jumat, 03 Desember 2010

Video of the week: Dance with my father by Luther Vandross

I love Luther Vandross and this song reminds of how much my father means to me n how i wish to dance with him again one day inshallah. Love you daddy

Jumat, 26 November 2010

Video of the week:Fungu la Mungu

Naupenda huu wimbo sana,mkisikiliza vizuri mtajua kwanini naupenda,mana una maneno mazuri. Katika nyimbo yote mistari hii ndio yankosha nyoyo yangu.

"Kweli hamsarifiki misili ngozi ya futi la Mungu fungu sikosi, nadhali ameafiki welulu hauyakuti hainifiki mikosi. Pigeni zenu fataki,aloandika afuti waja hamna nafasi MOLA fitina hataki NANG'ARA kila wakati, Umieni zenu nafsi"

Kamis, 11 November 2010

Video of the week

I have loved Jaheim ever since "Just in case". With him singing this song makes me love him even more. Every one of us falls in love sometimes, yea sometimes we say NEVER, but honestly when you meet that special someone who will knock you off your feet , that word "Never" wont be in your mind anymore. Love is a good thing. So all the lovers out there enjoy this song from me to you all. For the day you came along I sang a brand new song, I wan make it clear to see that your special part of me. I am proud to be your lady.



LinkWithin