Jumat, 11 Februari 2011

Video of the week: Nitarejea

Jamani jamani kama mnanijua basi mtajua napenda sana kazi ya Diamond napia nampenda yeye kama artists. Nimeupenda wimbo wa "Nitarejea" tokea niusikie mara ya kwanza na bada kuona video ndio nimeupenda zaidi. Hii ni video ya kwanza kutoka kwa Diamond tokea mwaka mpya uanze (2011). Katika wimbo huu nilicho kipenda ni acting ya Diamond, ma artists wengi sana wanatumia watu wengine kuact part ambazo haziendani na wao, lakini nampa hongera sana Diamond kwa kuact hii party yeye mwenyewe. He is natural born with talent, I LOOOOOOOOOVE HIM. Nsiseme mengi just look for yourself and after your done you will know why this is my favorite video of the week.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin