Rabu, 16 Februari 2011

Tukio la Gongolamboto leo




Kwanza natanguliza samahani kwa yeyote atakae soma post hii na kua offended lakini serekali ya TANZANIA ni nuksi, sijui niseme nini juu ya serekali ya TANZANIA. Kama huwezi kuhakikisha safety ya wananchi wako basi hakuna sababu ya kuweka mabomu ovyo na kuhatarisha maisha ya wananchi. Hivi serekali ya Tanzania ina vuta bangi ama?. Mabomu yanaripuka vipi yenyewe tena twice 2009 then 2011 hivi tutafika jamani?. Nakama hujui safety ya kuweka mabomu hayo kwanini usiwe nayo kabisa?. Yani mwanadamu unakaa unasema labda kesho au kesho kutwa viongozi wa nchi yetu watakua na akili lakini kila kukicha ndio vile vile. unakua na mabomu alafu unayaweka tuu yazagae badae yaje kujeruhi watu, wakiulizwa hawajui chanzo, why have them bombs laying around in the first place if you dont know how to use them?. My heart goes out to everybody in Tanzania right now.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin