Rabu, 16 Februari 2011

Come and celebrate TCA 20th anniversary


Utakua ni usiku wa furaha na fun nyingi tuuu!, sasa kama bado hujakata ticket yako basi nakupa ushauri ufanye fasta uitafute mana it will be a memory of a lifetime. Kwa kupata ticket yako wasiliana na watu wafuatao.

Aliko Mwakatobe: (905) 216-0712
Donatus Mutasingwa: (647) 832-2049
Richard Mwakijale: (416) 887-3705
Rami Hamisi (Tony): (905) 903-1252
Adrian Kasoyaga: (647) 887-5804
Patrick Kamera: (905) 432-0752

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin