Jumat, 25 Februari 2011

Washiriki wa Miss Utalii


Hawa ndio warembo 45 walochaguliwa kushiriki Miss Utalii 2011. Mshindi wa shindano hili atapata mkataba wa million 150,katika mkataba huo atapata elimu ya chuo kikuu,gari na fedha nyinginezo. Kwa kila anaetaka kuona shindano hili litafanyika wiki ijayo siku ya Jumamosi maeneo ya Bagamoyo. Kila la kheri kwa kila anae shiriki.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin