Jumat, 18 Februari 2011

Taarifa kutoka kwa kamanda wa polisi



Yani hii video inakupa hasira mwanadamu. Serekali yetu ya tanzania itaendelea lini eh?. Mabomu yanalipuka huyu pungu anasema watu watulie?. Tokea lini mwanadamu akatulia kwenye tukio kama hili?. Anazungumzia kwamba watu walikua wakielekea sehemu mbali mbali bila ya muelekeo, kama yeye angekua katika maeneo hayo angesimama na kusubiri muelekeo?. Alafu mcheki jamaa na body language, yani hajali kabisa!. Kama government ya kikwete haiwezi kufanya kazi iwaachie watu ambao wataweza, tokea jambo hili litokee sijamsikia raisi huyu kusema lolote. I want to know about his thoughts and feelings on this. Wananchi wa Tanzania wana deserve better than what they are getting.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin