Kamis, 11 November 2010

Artists of the week.


Ok guys, kama unanijua mimi basi utajua yakwamba nampenda sana Diamond. Ooooh my heart melts whanever when I hear his songs. Ntawapa couple of reasons kwa nini anakua artists of the week kwangu. First, he is very talented,anaimba,anandika nk. He is just talented he comes in a complete total package. Alivyotoka katoa wimbo wa Kamwambie which was a success,akaja na wimbo wa Mbagala BIGGER success and then kuna mwingine Nitarejea, ooh I heart the song. Sasa hivi yupo katika tour in UK. Pili ametangazwa kuwania tunzo la MAMA 2010 na ni mwana muziki pekee kuwania tunzo hilo kutoka Bongo.I see very bright future for this young fellow, he is talented,bright,funny,handsome. Nawaacha na nyimbo zake zote tatu.











Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin