Selasa, 03 Agustus 2010

Mapishi Part 3: Maharage ya kupaka


Nayapenda maharage ya kupaka, sie huku Canada tunatumia black beans, they're sooo yummmy. Waweza kuyapata katika duka lolote lile. Here is the recipe


Mahitaji


Maharage-3 cans

Tui la nazi-1 can ilonzito ambyo haina maji

chumi-half tea spoon

binzari-half tea spoon

pili pili- 3

Kitunguu- 1


Namna ya kupika


Yakoshe maharage yako, yachuje kisha weka kwenye sufuria

Sababu yako pre-cooked, yaweke maji half kikombe

Chemsha maharage,kitunguu na chumvi mpaka vyote vikwive.

Chukua sufuria nyingine iweke jikoni

Chukau tui lako mimina katika sufuria iliyoko jikoni,

Mimina binzari na ulikoroge ili lisikatike,

Koroga tui mpaka lianze kufura na liwe zito

Onja chumvi, kama haitoshi ongeza

Angalia maharage yako uhakikishe hayana maji

Maharage yaakiva punguza moto

Chukua tui lako la nazi ambalo zito umiminie juu ya maharage yako

Yarushe uyachanganye, yarudishe kwenye jiko hakikisha hayana maji yako dry.

BAM THER U HAVE UR MAHARAGE YA KUPAKA


Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin