Minggu, 15 Agustus 2010

Sala

Asalaam alaykum, katika mwezi mtukufu wa ramadhani ni muhimu kukumbushana mambo ya kheri,sala,kusoma quran na kufturisha ni muhimu siku zote katika maisha yako. Muislamu hajakamilika kama haswali wala hasomi Quran, funga yako haijakamilika kama uswali wala husomi Quran. Quran ndio ufunguo wa yote ya aldunia na kesho akhera. M/mungu ananyanyua watu wanao soma Quran. Enyi ndugu zangu waislamu nawapa usia someni QURAN katika mwezi huu mtukufu na siku zoote katika maisha yako. Wakati mtume anakata roho alihusia "naacha kitabu ambacho mimi nimekikamata, nimekuachieni kitabu cha M/mungu na Surah zangu, atakae kamata kitabu hatapotea kabisa" SALA NA QURAN MUHIMU SANA. Masalaam



Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin