Kamis, 19 Agustus 2010

Nani zaidi Diamond Vs Tanzanite

Haya wadau wenzangu, kuna bifu ndani ya Bongo flava baina ya Diamond na Tanzanite. Yasemekana kwamba Tanzanite amechukua beat na sauti ya wimbo wa "Mbagala" kwa ajili ya wimbo wake wa "Kafara". Tanzanite anadai kwamba yeye alikua anafanya majaribio and then booom kibao kikawa hewani. Um Tanzanite kibao kimefika vipi hewani kama sio wewe na watu wako kukipeleka,Isitoshe hadi video umetoa. Kumaliza case hii yani wewe kubali kama umeiba kila kitu kutoka kwa Diamond and move on. Hata kipofu na kiziwi watasema huo wimbo its exactly the same as "Mbagala". My advice,wote ni wasanii chipkizi, kaeni chini muelemishane, muelewane muelekezane ya maana, malizeni mambo,mfarakano kwenye mafanikio siku zote sio vizuri kwani maneno hayajengi bali hubomoa. All the best to both of you because your all talented young men(s),and I hope you will all act with class and finish this matter with self respect and dignity.


Diamond-Mbagala


Tanzanite-Kafara

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin