Jumat, 20 Agustus 2010

Jinsi ya kufunga Hijab

Kuna mtu aliniomba niweke jinsi ya kufunga Hijab,samahani nimechukua muda lakini ndio ramadhani hiyo mwanadamu ukimaliza pirika unataka uketi tuu. Anyways nimepata few videos za jinsi ya kufunga Hijabs. Nlijaribu kurecord zangu mwenyewe lakini dah im shy infront of camera, so enjoy the youtube ones.




Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin