Rabu, 04 Agustus 2010

Cancer inauwa masikini kuliko matajiri

New study says Cancer is more likely to kill poor people than rich. Habari hii imekuja bada Health researchers kufanya uchudnguzi. Inasemekana kwamba, mtu masikini akiwa na cancer inajulikana na kuwa diagnosed katika late stage.Inasemekana kua mwanamke ambae masikini kua hai katika miaka mitano bada kua diagnosed na breast cancer ni 77 percent, compared to 84 for affluent women.Well its hard to say NO, lakini the key factor ni kwamba yule alotajiri is more likely to get help than the poor one who is sitting there with no help at all. Ladies do yourself a breat regulation test, if you dont know how then ask your doctor.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin