Rabu, 28 Juli 2010

June July, video nzuri ama mbaya?

Eti wadau wenzangu mnaonaje hii video ya " June July". Nice song lakini video mmmh I do not like it.Having guns and waving them like a flag isnt cool at all,specially ukiwa kwenye nchi ambayo ime corrupt tayari.Zero creativity. Lete maoni yako!, Enjoy

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin