Selasa, 27 Juli 2010

Welcome

Habari wapendwa, karibuni katika blog yangu mpya inayoitwa celen-gasu. Katika blog hii mtapata habari mbali mbali kutoka kila kipembe. Mnaopenda fashion mtapata fashion, mnaopenda sports mtapata sports(Hola!), Mapishi basi ah mmefika. Politics I will write down my thoughts on upcoming election in Tanzania. Natumaini mtafurahia na pia napokea maoni, maswali,matukio kutoka kwenu. Kwahiyo feeel FREE to holla at your Gal! Yay! Peace

Maoni,maswali na kadhalika mnaweza kutuma.
msawwal@gmail.com

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin