Sabtu, 30 Oktober 2010

Kila la Kheri Tanzania



Firstly,nawatakia kila la khery candidates woote wanao gombea uchaguzi in few hours. Mtakao vote basi mvote kwa salama na amani. Chagueni chama kitakacho leta amani katika nchi yetu ya TANZANIA. Msi vote kwa chama hiki sababu mwenzio amesema, jiulize wewe mwenyewe je unataka uone maendeleo gani katika nchi yako?. Vote kwa usalama na amani. Asiye shida basi abebe virago vyake arudi kwake. Kila la kheri.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin