Tampilkan postingan dengan label Umiss. Tampilkan semua postingan
Tampilkan postingan dengan label Umiss. Tampilkan semua postingan

Selasa, 31 Mei 2011

Miss Universe Tanzania 2011



Nelly Kamwelu aliibuka kua mshindi wa kwanza katika shindano la kumtafuta Miss Universe(Tanzania). Mrembo huyo alikua mwenye furaha kujua alifunika warembo wengine wote na kuchukua title hilo.


Tatu bora


Walo fanikiwa kuingia tano bora.

Jumat, 27 Mei 2011

Miss Dar Indian Ocean 2011



Katika picha ni baadhi ya warembo watakao shiriki pambano la Miss Dar Indian Ocean 2011. Shindano hilo litafanyika Mbalamwezi Beach Club. Mie nimempenda namba mbili na namba sita!. Kila la kheri ladies

LinkWithin