Abood lapinduka na kujeruhi abiria zaidi ya 31, ajali hiyo imetokea katika mlima imezu inyala mkoani mbeya. Mdada akipata matibabu bada ya ajali Mtoto akisubiri matibabu baada ya kunusurika katika ajali. Gari ilogongana na Isuzu Abood linavyo onekana baada ya kupinduka.
Tidak ada komentar:
Posting Komentar