Yaaani nikiangalia hii video nacheka na nafsi yangu.Zile enzi za awali kwamba bi harusi anatakiwa ainame chini zimepitwa na wakati. Kwanza ni siku yako ya furaha katika maisha yako, so unatakiwa ufurahie nayeye amefurahia kiukweli and her hubby isnt he adorable supporting his wife?. Now I call that fun. Enjoy
Tidak ada komentar:
Posting Komentar