Jana baadhi ya ndugu,jamaa, na marafiki walikusanyika kumpa pole bibie Sandra na familia yake kwa kuondokewa na dada yake mpendwa aitwae Charity. Msiba ulitokea huko South Africa,M/mungu ailaze roho ya marehemu maala pema peponi,Amin.
Picha zote ni Ikhisani ya http://tanzcan.blogspot.com/
Tidak ada komentar:
Posting Komentar